Our Core Values
The principles that guide our work and decisions at South Pemba Regional Secretariat.
Our Core Values
These are the core values that guide our work.
Uwazi
Uwazi katika utendaji wa taasisi kupunguza mianya ya ufisadi na kuimarisha imani ya umma
Uwajibikaji
Kusimamia misingi ya uwajibikaji katika kazi
Ushirikishwaji
Usimamizi na uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa. Kuwashirikisha wananchi katika maamuzi muhimu yanayowagusa ili kuhakikisha kuwa sauti zao zinasikika
Ufanisi
Afisi inafanyakazi kwa ufanisi na kusaidia katika utoaji wa huduma bora kwa wananchi na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii
Utawala na Sheria
Afisi inahakikisha kuwa sheria zinafuatwa na kutekelezwa bila upendeleo ili kujenga imani ya wananchi kwa Serikali na mfumo wa haki.