Tehama na Uhusiano

Kitengo hichi kinahusika na kutoa huduma ya masuala ya mifumo ya TEHAMA, mawasiliano na uhusino katika Ofisi ya Mkoa.

About This Unit

Detailed information about this unit will be added soon.

Key Responsibilities

  • Kufanya uchambuzi na kubuni mifumo ya teknolojia, habari na mawasiliano kwa Ofisi ya Mkoa.
  • Kufanya uchambuzi na kubuni mifumo ya teknolojia, habari na mawasiliano kwa Ofisi ya Mkoa.
  • Kuandaa na kutekeleza mkakati wa kiteknolojia, habari na mawasiliano na kufanya tathmini yake.
  • Kufanya ufuatiliaji juu ya utekelezaji wa Sera ya TEHAMA.
  • Kutunza, kutoa ushauri na kuratibu ununuaji wa vifaa mbali mbali za kiteknolojia, habari na mawasiliano pamoja na programu.
  • Kuanzisha, kuratibu na kuelekeza matumizi ya barua pepe katika Ofisi ya Mkoa.
  • Kuanzisha na kuwezesha matumizi ya mtandao kiambo ‘Local Area Network (LAN) na mtandao mpana Wide Area Network (WAN).
  • Kuandaa na kutunza ‘web-portal’ na kwa matumizi ya Ofisi ya Mkoa.
  • Kujenga uhusiano mzuri ndani ya Ofisi ya Mkoa na Wadau wengine.
  • Kusimamia na kuratibu taarifa zote zinazotoka katika Serikali ya Mkoa kwenda katika vyombo vya habari au jamii.
  • Kuratibu ziara za wageni wa ndani na wanje ya nchi wanofika kwa lengo la kupata ufahamu wa shughuli za Ofisi za Mikoa.
  • Kutayarisha vipeperushi na matangazo ya kutangaza Taasisi.
  • Kupokea malalamiko kwa wadau na wananchi kwa ujumla juu ya utendaji wa Ofisi.
  • Kutoa ushauri wa maswala yote yanayohusu uhusiano na habari.
  • Kuhakikisha kuwa sifa na heshima ya Ofisi inalindwa kwa wananchi na jamii kwa ujumla.