Kitengo ha Sheria
Kitengo hichi kinahusika na kutoa huduma sheria katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
About This Unit
Detailed information about this unit will be added soon.
Key Responsibilities
-
Kutoa ushauri juu ya masuala ya kisheria na kusaidia katika kutoa tafsiri juu ya sheria na mikataba mbali mbali kwa Ofisi ya Mkoa.
-
Kushiriki na kutoa ushauri wa kisheria wakati wa majadiliano mbali mbali yanayohusu Ofisi ya Mkoa juu ya makubaliano au mikataba maalumu.
-
Kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa Sheria na taratibu mbali mbali katika Ofisi ya Mkoa na kutoa ushauri ili kuziboresha zaidi.
-
Kuandaa nyaraka mbali mbali za kisheria.
-
Kuandaa mapendekezo ya marekebisho ya Sheria na Kanuni mbali mbali katika utekelezaji wa majukumu ya Mkoa.
-
Kutoa msaada wa kisheria katika ngazi ya Mkoa.