Kitengo cha Uhasibu na Fedha
Kitengo hichi kinahusika na kufanya malipo, kutayarisha ripoti ya hesabu za Ofisi ya Mkoa na kushugulikia mapato na matumizi ya Ofisi ya Mkoa.
About This Unit
Detailed information about this unit will be added soon.
Key Responsibilities
-
Kuandaa na kufanya malipo mbali mbali ya Ofisi ya Mkoa.
-
Kuandaa taarifa za mapato na matumizi kwa kila mwezi, robo mwaka. nusu na mwaka kwa kuzingatia Sheria na Kanuni za Fedha.
-
Kudhibiti na kusimamia mapato na matumizi ya fedha kulingana na bajeti ya Mkoa.
-
Kutayarisha hati za malipo kwa watumiaji kwa mujibu wa kasma za mgao wa Ofisi ya Mkoa.
-
Kutunza kumbu kumbu ya Hesabu za Ofisi ya Mkoa.
-
Kuandaa malipo na hati za malipo.
-
Kutayarisha makisio ya matumizi ya kawaida na maendeleo.
-
Kufuatilia upatikanaji wa fedha zilizotengwa kwa maendeleo ya Mkoa.
-
Kukusanya mapato yatokanayo na vyanzo vilivyoainishwa katika Sheria, Kanuni na Miongozo iliyotolewa na mamlaka husika.
-
Kufanya usuluhisho wa hesabu za Ofisi ya Mkoa (Bank Reconciliation).