Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
Kitengo hichi kitahusika na majukumu ya kuhakisha usimamizi wa matumizi ya rasilimali fedha na rasilimali nyengine za Ofisi ya Mkoa zinatumika ipasavyo.
About This Unit
Detailed information about this unit will be added soon.
Key Responsibilities
-
Kushauri uzingatiaji wa matumizi ya fedha kulingana na sheria na taratibu za fedha.
-
Kufanya ukaguzi wa mapato na matumizi ya fedha, mazingira, rasilimali watu na mali nyengine za Ofisi ya Mkoa na kuandaa ripoti.
-
Kufanya mapitio na kutoa taarifa kwa uongozi juu ya utekelezaji wa mapendekezo ya taarifa ya ukaguzi wa ndani.
-
Kufanya ukaguzi wa thamani ya fedha kwa miradi inayotekelezwa.
-
Kutoa ushauri kwa uongozi wa Ofisi ya Mkoa kuhusiana na miradi inayosimamiwa na Ofisi ya Mkoa.
-
Kufuatilia ulipaji wa stahiki za watumishi.